Tuko Tayari kusaidia biashara ndogo kukuza faida kupitia kwa DUKAPAQ POS
Tunafanya kila kitu kwa njia ya uwazi zaidi iwezekanavyo. Msingi wa biashara yetu ni wa huduma kwanza na hujali mahitaji ya wateja wetu mbele kwa njia ya uvumbuzi.
Tunataka kukufurahisha wewe! PoS yetu itaimarisha biashara yako. Timu yetu ya huduma itakuwa tayari kukusaidia kwa lolote.
Timu yetu iko takayi kila wakati kukabiliana na mabadiliko na mahitaji ya biashara yako.
DUKAPAQ itakuruhusu kufanya kila kitu kwenye Kifaa kimoja. Unaweza kufuatilia hesabu ya bidhaa, uchambuzi wa biashara, na uwape wateja wako alama za pongezi